Maoni Yako Ep23
Kwa kipindi #MaoniYako Ep23 tutazumgumzziya kuhusu mripuko wa volcano Nyiragonzo ambao ulisababisha maafa lengi na kupelekeya watu wengi kubaki bila makao. Tutatiya mkazo kuhusu misaada zinazo tolewa kwao na watu wenye moyo mwema bila kuangalia kabila. Hali ambao inaweza kupelekeya watu kuishi kwa upendo na amani.
Production: La Benevolencija ABC
www.labenevolencija.org
Amsterdam, the Netherlands